Mkuu wa wilaya ya Bunda Mkoani Mara mwl.Lydia Bupilipili amewapongeza
wale wote waliojitokeza miaka ya nyuma kushiriki mafunzo ya mgambo, kwani
wamekuwa msaada mkubwa ndani ya jamii katika utekelezaji wa majukumu ya ujenzi
wa taifa.
Bulipili ametoa Pongezi hizo siku chache baada ya wanamgambo 166
kuchukuliwa na Suma jkt, kwajili ya kwenda kulinda katika makampuni mbalimbali hapa nchini.
Aidha Bulipili amesema kuwa, vijana waendelee kujitokeza kwa wingi
kushiriki mgambo kwani serikali ya wilayani Bunda imedhamilia kumaliza kero
mbalimbali likiwemo suala la ajira.
No comments:
Post a Comment