Zoezi hilo la uwekaji chapa kwa mifugo lilianzia katika kijiji cha butakale.
Akisoma taarifa fupi ya mifugo mbela ya mkuu wa wilaya ya Bunda, mtendaji wa kata hiyo bwana Raymond Bukombe amesema kuwa kata hiyo inajumla ya mifugo 27485 na yote imesajiliwa.
Hata hivyo mkuu wa wilaya ya bunda Mwalimu Lydia Bupilipili amewapongeza wafugaji wa kata ya bunda stoo kwa kuhamasika kepeleka mifugo yao kuwekewa chapa na kusajiliwa kwa kuwa zoezi hilo ni la kitaifa na ni muhimu kwani inapunguza baadhi ya changamoto ikiwemo wizi wa mifugo
No comments:
Post a Comment