Hayo yamesemwa na baadhi ya wakazi wa kata ya kabarimu halmashauri ya mji wa bunda kwa nyakati tofauti ambapo wamesema kuwa wapo baadhi ya wazazi hujisahau kuwapa malezi mazuri watoto hao na kuwaacha wakifanya mambo yasiyo yakimaadili kama kujihusisha na vitendo vya ngono.
Mmoja wa wakazi hao bwana Thomas Ezekil amesema kuwa wazazi wanapaswa kutambua kwamba watoto hao bado ni wanafunzi na wanasubiri matokeo yao ili waendelee na masoma yao.
No comments:
Post a Comment