Marema Sollo ambaye ni katibu wa Siasa na Uenezi
Wilaya ya Tarime Mkoani Mara
amesema kuwa Chama cha Mapinduzi
Wilaya ya Tarime kina wasemaji wa chama hicho siyo kwamba kila Mwanachama ni
msemaji na hawatavumilia suala hilo.
amesema kuwa Chama cha Mapinduzi
Wilaya ya Tarime kina wasemaji wa chama hicho siyo kwamba kila Mwanachama ni
msemaji na hawatavumilia suala hilo.
Marema ameyasema hayo wakati akizungumza na
wandishi wa habari wilayani hapa.
No comments:
Post a Comment