Mwenyekiti wa Halmashauri Serengeti Juma, asema Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya umekamilika. - Mazingira FM

Mazingira Fm Live

Breaking News

Thursday, 22 February 2018

Mwenyekiti wa Halmashauri Serengeti Juma, asema Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya umekamilika.


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Juma Porini akiongea katika  baraza la Madiwani la Mapitio ya Bajeti 2017-2018 ambapo amesema kuwa suala la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya likikamilika changamoto hiyo itakwisha huku watanzania na Wakazi wa Serengeti wakiwemo watalii watatibiwa Wilayani humo, kwani Wilaya hiyo haina Hospitali ya
Wilaya tangu uhuru.

                         
                                         
Madiwani wakiwa katika Baraza hilo.


 Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara unaoendelea.

No comments:

Post a Comment