Kocha Mkuu
wa klabu ya Simba SC, Pierre Lechantre tayari ameshatangaza kikosi
cha maangamizi ambacho kinaivaa klabu ya Gendamarie Tnale
kutoka Djibouti kwenye mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Simba SC
ambao hao ndio watakuwa nyumbani kunako dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es
salaam wataanza na wachezaji wao muhimu kwa kutumia mfumo wao wa 3-5-2 ambapo
John Bocco na Emmanuel Okwi wataongoza mashambulizi.
No comments:
Post a Comment