Waandishi wa habari
nchini wametakiwa kuandika habari zenye kuibua changamoto zinazo walenga wanawake
katika jamii ilikuzitafutia ufumbuzi pamoja na kudai haki zao.
Akiwasilisha mada kwenye
mafunzo yauandaaji vipindi na kuwajengea uwezo waandishi wa habari yanayoendelea
mkoani Dodoma, Mwezeshaji kutoka Shirika la Kimataifa la Elimu, SayansinaUtamaduni–UNESCO-BI ROSE MWALIMU amesema
kuwa, bado wanawake nchini hawajape wakipaumbele
katika kupaza sautizao jambo ambalo linawafanya kubaki nyuma kimaendeleo.
Bi Rose amesema kuwa
ni asilimia 22 tu yaidadi ya wanawake ndio wanaoshirikishwa katika taarifa za habari
ikilinganishwa na wanaume ambao ushirikiwao ni mkubwa .
No comments:
Post a Comment