Katibu CAHDEMA Mara atoa Msaada wa Viti 25 Kikundi cha Samartani Tarime - Mazingira FM

Mazingira Fm Live

Breaking News

Monday, 5 March 2018

Katibu CAHDEMA Mara atoa Msaada wa Viti 25 Kikundi cha Samartani Tarime

Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara  Mwl Chacha Heche akiongea na Wanakikundi baada ya kukabidhi msaada wa viti 25 ambapo wanakikundi wameunga mkono kwkuongeza viti 15           

No comments:

Post a Comment