Mbunge Matiko aendelea Kugawa Vitabu vya Ziada Shule za Sekondari Tarime. - Mazingira FM

Mazingira Fm Live

Breaking News

Tuesday, 13 March 2018

Mbunge Matiko aendelea Kugawa Vitabu vya Ziada Shule za Sekondari Tarime.

       

                       

Mbunge wa Jimbo la Tarime Mjini CHADEMA Esther Matiko amegawa vitabu  vya Ziada katika Shule ya Sekondari Nkende, Mbunge huyo amegawa vitabu hivyo kwa Masomo ya Sayansi na Sanaa katika Shule za Sekondari zote zilizomo ndani ya Jimbo lake

Aidha Mbunge huyo amesema kuwa vitabu hivyo vitasaidia katika kuongeza ufaulu kwa wanafunzi huku akidai kuwa bado baadhi ya Shule zinakumbwa na
changamoto ya upungufu wa vitabu vya biashara na sanaa hivyo suala hilo atalifanyia kazi mara moja.



No comments:

Post a Comment