Nabii Daniely Shillah anaegawa hela kanisani kwake amezungumzia kuhusu Kanisa lake kufutiwa usajili. Hivi karibuni Nabii Shillah alishika kasi kwenye mitandao ya kijamii ikijinadi kuwa yeye kanisa lake halipo kwa maslahi binafsi.
No comments:
Post a Comment