Radio Mazingira Fm imefanikiwa kumtoa mshindi wa tuzo za EJAT zinazotolewa na baraza la habari Tanzania MCT ambaye ni Catherine Msafiri Mdabuke.
Na Adelinus Banenwa
Catherine Msafiri Madabuke mtangazaji kutoka radio Mazingira fm ameibuka mshindi wa umahiri wa uandishi wa habari katika kipengere cha utalii na uhifadhi tuzo za EJAT 2022.
Tuzo hizo zinazotolewa na baraza la habari Tanzania MCT kwa waandishi wa habari mahiri ambapo tuzo za mwaka 2022 zimetolewa usiku wa tarehe 22 july 2023 katika ukumbi wa mlimani city Dar es salaam.
Ikumbukwe kwamba ni kwa mara ya pili Radio mazingira fm inatoa mshindi wa umahiri wa buandishi wa habari katika tuzo hizi amabapo mwaka 2020 Thomas Masalu mtangazaji wa mazingira fm aliibuka mshindi wa tuzo hii ya umahiri wa uandishi wa habari katika kipengere cha utalii na uhifadhi
Kwa niaba ya uongozi wa radio Mazingira Fm inampongeza Catherine Msafiri Madabuke kuibuka mshindi katika tuzo hizo.
Dah.! Hongera sana dada et mpendwa kwa tuzo uliopata pia naomba uitikie kazi hiindeleee.... ni mimi mandonga mtu kazi toka bunda depot coca-cola 🙏🙏🙏
ReplyDeleteAsante kazi iendelee....Reply
DeleteAsante kazi iendelee....
ReplyDelete